UKURASA WA 16; Jijengee Utaratibu Wa Kila Siku.

By | January 16, 2015
Sehemu kubwa ya mambo unayofanya kila siku unafanya kutokana na tabia ambayo tayari umeshajijengea. Kwa mfano unapoamka asubuhi huenda huwa unasafisha kinywa chako, hii ni tabia uliyoijenga kwa muda mrefu sana na hivyo hutumii nguvu yoyote kuifanya. Yaani huanzi kufikiria kama usafishe kinywa au la, ukiamka tu mpja kwa moja

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In