UKURASA WA 49; Uelekeo Ni Muhimu Kuliko Mwendo Kasi..

By | February 18, 2015
Kama hujui unakokwenda, kuongeza mwendo hakutakufikisha unakotaka kufika. Kuongeza mwendo kutazidi kukupoteza, kukupeleka mbali zaidi na huenda ukawa mbali zaidi na unakotaka kufika. Hivyo jukumu lako kubwa kwenye maisha sio kuongeza mwendo bali kujua kwanza unakokwenda ni wapi. SOMA; Sababu 5 Kwa Nini Ni Marufuku Wewe Kukata Tamaa. Ukishajua unakokwenda

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In