UKURASA WA 171; Unapokata Tamaa Maana Yake Umekubali Hivi.

By | June 20, 2015
Kukata tamaa maana yake umeamua kuondoka kwenye safari inayokupeleka kwenye mafanikio. Kukata tamaa maana yake umeamua kwamba nguvu zote ulizoweka, mambo yote uliyojitoa mpaka sasa hayana maana na umeamua kuyapoteza. Kukata tamaa maana yake ni kusema ulikuwa hujui kile ulichopanga kufanya na hata sasa hujui ni kitu gani unataka kufanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In