šŸ’„ #TAFAKARI YA LEO; HUJACHELEWA….

By | November 21, 2016
Habari rafiki yangu? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Tutumie muda wetu wa leo vizuri rafiki, kwa sababu hatutakuja kuupata tena. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUCHELEWA…. Kwenye maisha kuna wakati unajiona kama umechelewa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In