PESA NA BIASHARA; Misingi Mitatu Muhimu Ya Kuifuata Ili Kuwa Na Biashara Yenye Mafanikio.

By | May 1, 2017
Biashara ni sawa na kiumbe hai, na kama viumbe hai vyote vilivyo, huzaliwa na kufa, na ili kukua, basi kiumbe hai lazima kipate matunzo yote muhimu. Biashara inahitaji matunzo muhimu sana ili iweze kukua, na kama itapata matunzo yote muhimu kwa wakati, basi inaweza kuvunja sheria moja ya viumbe hai,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA NA UJASIRIAMALI

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz