UKURASA WA 897; Hamasa Inapatikana Hapa….

By | June 15, 2017
Ili kufanikiwa, lazima tufanye mambo ambayo wengine hawapo tayari kufanya, na hata sisi wenyewe, hatujawahi kufanya hapo awali. Mambo haya siyo rahisi, na ndiyo maana wengi hawafanyi. Hivyo kuweza kufanya mambo haya magumu na makubwa, tunahitaji sana hamasa. Lazima tuwe na hamasa ya kuweza kufanya hata pale ambapo hatuoni urahisi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In