UKURASA WA 901; Majibu Ya Maajabu…

By | June 19, 2017
Kitu chochote ambacho unataka kujua, kipo hapo ulipo, kipo ndani yako na kipo wazi kabisa mbele yako. Lakini tatizo ni kwamba huamini majibu ambayo unayo, ambayo yako ndani yako, na ambayo yako mbele yako. Badala yake unaamini yapo majibu ya maajabu, majibu ambayo umefichwa na hujawahi kuyaona. Na hivyo unakazana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In