BIASHARA LEO; Neno Lako Na Liwe Sheria….

By | June 21, 2017
Nilikuwa nasoma kitabu cha mfanyabiashara aliyeweza kufanya makubwa sana, alirithi biashara ya baba yake ya kuuza mvinyo, na akaweza kuikuza mara dufu ndani ya muda mfupi. Kwenye kitabu hicho alikuwa anasema ushauri bora kabisa wa biashara ambao baba yake alimpa ni huu; NENO LAKO LIWE SHERIA AMBAYO HUTAIVUNJA. Anasema baba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In