UKURASA WA 928; Ni Bora Urudi Ukalale…

By | July 16, 2017
Dunia inaendeshwa kwa msingi mmoja muhimu sana, mabadiliko ni muhimu na yanatokea kila wakati. Hivyo jambo muhimu sana ambalo mtu unaweza kufanya, ni kubadilika, kila siku japo kwa hatua ndogo sana. Wale wote ambao wamekuwa hawataki kubadilika, wamekuwa wanaachwa nyuma. Wamekuwa wanafanya mambo kwa mazoea, kitu ambacho kinawarudisha nyuma. Ili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In