UKURASA WA 929; Unaweza Kuacha Kitu Unachokipenda?

By | July 17, 2017
Unaweza kuacha kitu unachokipenda, ambacho unaipenda kweli kutoka ndani ya moyo wako? Unaweza kukata tamaa na kuacha kufanya kitu ambacho unakipenda kweli? Ukasema hutaki tena ile furaha na hali ya kujisikia vizuri inayotokana na kile unachofanya? Majibu hapo yatakuwa ni hapana, kwa sababu kitu unachokipenda, na kukijali kweli, utakifanya bila

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In