UKURASA WA 948; Uongozi Ni Kujali…

By | August 5, 2017
Kwanza kabisa, wote wanaofanikiwa na kuweza kufanya mambo makubwa, ndani yao wana sifa za uongozi, iwe kwa mazoea au kujijengea, huwa ni viongozi wazuri sana. Ninaposema kiongozi simaanishi yule tu aliyechaguliwa na kupewa jina hilo, bali yeyote ambaye anachukua hatua ya kufanya mambo kuwa bora zaidi. Hivyo basi, kila mmoja

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In