UKURASA WA 1014; Dhambi Kubwa Siyo Kukosea, Bali Kutokufanya Kabisa…

By | October 10, 2017
Karibu kila mtu ana mpango fulani ambao anataka kuufanyia kazi kwenye maisha yake. Watu wengi wanajua nini wanapaswa kufanya kwenye maisha yao, kazi yao, biashara yao na maeneo mengine. Na hata wasiojua, wana wazo kwamba pale walipo sasa bado hapawatoshi na kuna mambo yanayofanywa na wengine ambayo wanatamani na wao

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In