BIASHARA LEO; Jinsi Ya Kutumia Makosa Yako Kibiashara Kujenga Imani Ya Wateja Kwako…

By | October 11, 2017
Bilionea Bill Gates amewahi kuandika kwenye moja ya vitabu vyake kwamba mteja ambaye hajaridhishwa ni sehemu kubwa sana ya kujifunza kwenye biashara. Akiwa na maana kwamba, kama kuna mteja ambaye hajaridhishwa na huduma au bidhaa uliyomuuzia, ni mteja ambaye atakufundisha mengi sana. Ni jambo lisilo na shaka kwamba katika kuwahudumia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In