Ukurasa Wa 1026; Kaa Kwenye Kile Unachofanya Hata Kinapokuwa Kigumu.

By | October 22, 2017
Kaa Kwenye Kile Unachofanya Hata Kinapokuwa Kigumu… Kila kitu unachopanga kufanya kwenye maisha yako, kuna wakati kinakuwa kigumu. Iwe ni kazi, biashara na hata maisha ya kawaida. Upo wakati utafikia ugumu na akili kuona haiwezi kwenda tena. Huu ndiyo wakati ambapo wengi huwa wanatoroka, wanaacha kufanya kile walichokuwa wanafanya na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In