#UKURASA WA 1027; Matokeo Na Mchakato, Wakati Sahihi Kwa Kila Kimoja…

By | October 23, 2017
Dunia inapenda matokeo, ila haipendi mchakato. Watu wanafurahia na kuhamasika pale wanapoona mtu kapata matokeo fulani mazuri na makubwa. Lakini hawapendi kuona mchakato mzima uliozalisha matokeo yale, na hata wakiambiwa mchakato huo, wanaweza wasikubaliane nao. Tunapoishi maisha yetu, tunapanga michakato ambayo inatufikisha kwenye mafanikio. Watu wengi huzama kwenye mchakato, kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In