UKURASA WA 1065; Unaweza Kufanya Nini? Maisha Yako Ni Mfano Kwa Lipi?

By | November 30, 2017
Mafanikio tunayoyatafuta kwenye maisha, yanatoka kwa watu wengine. Chochote tunachotaka kwenye maisha yetu, tunategemea kitoke kwa watu wengine. Kadiri watu wanavyotujua na kutuamini, ndivyo inavyokuwa rahisi kwetu kupata kile ambacho tunataka kutoka kwao. Katika hili la watu kutujua na kutuamini, yapo mambo mawili muhimu sana ya kuzingatia kwetu sisi wenyewe.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In