UKURASA WA 1067; Tatizo Siyo Wazo Bora, Tatizo Ni Kufanya Mambo Yatokee…

By | December 2, 2017
Wapo watu ambao wamekwama, wakiamini kilichowakwamisha ni kukosa mawazo bora ya nini wafanye au hatua gani wachukue. Lakini ukiangalia kwa undani, tatizo siyo wazo bora. Katika zama tunazoishi sasa, mawazo bora yapo mengi sana, mengi mno na yapo kila mahali. Tunaweza kusema mawazo bora ni mengi kuliko uwezo wa mtu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In