UKURASA WA 1072; Usiangalie Kipato Pekee, Angalia Maisha Unayotengeneza Pia…

By | December 7, 2017
Watu wengi wanapochagua kazi au biashara ya kufanya, huanza kuangalia ni kiasi gani cha fedha wanaweza kupata. Na kama kuna machaguo mengi ya vitu wanaweza kufanya, wengi huchagua kile wanachoona kitawalipa zaidi. Wapo wengine wanasema wazi kabisa kwamba wapo tayari kufanya chochote kama kinawaingizia fedha. Hali kama hii ni kawaida

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In