UKURASA WA 1075; Siyo Namba, Ni Watu…

By | December 10, 2017
Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kitu kinapimwa kwa namba. Kuanzia fedha, kiwango cha kazi tunachofanya na hata idadi ya watu tunaowahudumia au kuwauzia. Kipimo kikubwa sasa kimekuwa ni namba, na kadiri namba inavyokuwa kubwa, ndivyo tunavyoona tumefanikiwa. Kadiri kiasi cha fedha kinavyokuwa kikubwa, ndivyo tunavyoona tumefanikiwa. Kadiri idadi ya watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In