UKURASA WA 1076; Mafanikio Ni Magumu, Lakini Umasikini Ni Mgumu Zaidi…

By | December 11, 2017
Ukweli ni kwamba, mafanikio ni magumu, kuyatafuta mafanikio ni safari ngumu ambayo imejaa vikwazo na kukatishwa tamaa kwenye mambo mengi. Lakini hata unapoyapata mafanikio, siyo kwamba mambo yanakuwa rahisi, badala yake yanazidi kuwa magumu zaidi. Changamoto ndiyo zinazidi kuwa kubwa, na hatari ya kupoteza chochote ulichonacho inazidi kuwa kubwa. Kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In