UKURASA WA 1107; Kinachoendelea Kuchochea Hasira Zako Ni Hichi…

By | January 11, 2018
Kila mtu huwa anapata hasira, lakini kinachowatofautisha wale wanaoonekana wana hasira sana na ambao hawana hasira, ni namna gani wanaichukulia na kuishughulikia hasira wanayokuwa nayo. Watu kwa kujua au kutokujua, huwa wanatuudhi au kufanya mambo ambayo hatukutegemea wafanye. Hili huleta hasira kwa kila mtu, lakini wapo ambao hasira zao zinaishia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In