UKURASA WA 1115; Ni Urafiki Na Mapenzi Ndiyo Vinajenga Wateja Wazuri…

By | January 19, 2018
Kitu kimoja ambacho huwa napenda kuwakumbusha wafanyabiashara mara kwa mara ni kwamba wateja wananunua kwa sababu zao binafsi na siyo kwa sababu zako. Mteja hanunui kwa sababu wewe unauza, ila ananunua kwa sababu anahitaji kununua. Na kama ambavyo tunajua, sisi binadamu ni wabinafsi, tunajali mambo yetu zaidi kuliko kitu kingine

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In