UKURASA WA 1133; Nje Hakubadiliki, Bali Ndani…

By | February 6, 2018
Kuna watu wanaamini dunia ni sehemu ya mateso, sehemu ngumu na yenye kila aina ya shida. Na tangu wanapoamka mpaka wanaporudi kulala, hicho ndiyo wanachoona na kupata kwa siku nzima. Kwa mfano mtu anataka kuwahi mahali, halafu akakutana na foleni kubwa, au chombo alichokuwa anatumia kikaharibika. Hapa moja kwa moja

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In