UKURASA WA 1134; Mamilioni Ya Watu Wameshafanya…

By | February 7, 2018
Kuna wakati unataka kufanya kitu, lakini unakuwa umekwama, ukiwa hujui ufanyeje, au uanzie wapi, au panakuwa na changamoto ambazo hujui utawezaje kuzitatua. Wengi hapa hujiambia haiwezekani na hawawezi kufanya, na kila kitu kinaishia hapo. Ukweli ni kwamba, chochote ambacho unafikiria kufanya lakini hujui ufanyeje, mamilioni ya watu walishakifanya. Wapo watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In