UKURASA WA 1145; Kwa Nini Ni Vigumu Sana Kuuona Ukweli…

By | February 18, 2018
Kuna utani kwamba mtu mmoja ambaye alikuwa hajawahi kuvaa miwani nyeusi, aliivaa siku moja, ukiwa ni mchana wa jua kali. Lakini kutokana na weusi wa miwani ile, mtu yule aliona kama ni usiku, yaani giza linaingia. Na alitaka kujisaidia haja ndogo hivyo akasogea pembeni ya njia, akijua ni giza na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In