UKURASA WA 1148; Upo Tayari Kupoteza Nini?

By | February 21, 2018
Kupata chochote unachotaka, unahitajika kutoa kitu fulani, kwa lugha nyingine, ili upate lazima upoteze. Na kadiri unavyotaka vitu vikubwa, ndivyo unavyohitaji kupoteza vitu vikubwa zaidi. Hii ndiyo sababu wakati mwingine unakiacha kitanda mapema, kabla hata ya usingizi kuisha, ili kuwahi kwenye shughuli zako kwa sababu unahitaji kupiga hatua fulani. Hivyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In