UKURASA WA 1150; Kama Kazi Yako Haijawahi Kukosolewa Na Yeyote…

By | February 23, 2018
Huenda unaifanya kwa kawaida sana, kwa namna ambayo kila mtu anafanya, na hivyo hakuna yeyote anayeshangazwa na jinsi unavyoifanya kazi yako. Sasa unaweza kufikiria hilo ni jambo bora, lakini sasa, ni hasara na hatari kubwa, kwa sababu ni kiashiria kwamba hufanyi makubwa na pia hutafika mbali. Kama kazi yako haijawahi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In