UKURASA WA 1160; Watu, Mazingira, Mtazamo Na Kesho Yako…

By | March 5, 2018
Kila kitu unachokutana nacho kwenye maisha yako, kinachangia namna ambavyo maisha yako yanakwenda. Hata kama unaona ni kitu kidogo kiasi gani, hakuna kisichokuwa na madhara kwako. Kwa mfano kila mtu yupo pale alipo sasa, kutokana na hatua alizochukua au kutokuchukua huko siku za nyuma. Na atakapokuwa mtu kesho, ni matokeo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In