UKURASA WA 1163; Nini Kitatokea Kama Utapotea Ghafla…

By | March 8, 2018
Mara ghafla kesho biashara yako haipo tena, huwezi tena kutoa kile ambacho umekuwa unatoa kwa wateja wako. Nini kitatokea kwa wateja wako ambao ulikuwa unawahudumia? Ghafla tu huwezi tena kufanya kazi yako, huwezi kwenda kutoa ile huduma ambayo umekuwa unatoa, nini kitatokea kwa mwajiri wako na hata wale wanaotegemea huduma

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In