UKURASA WA 1164; Kuungana Na Wengine, Kutengana Na Wewe Mwenyewe…

By | March 9, 2018
Upo usemi ambao umekuwa unatumika kama utani kwamba simu ina nguvu ya kuwaleta karibu walio mbali, na kuwaweka mbali walio karibu. Yaani mtu anapokuwa na simu anaweza kuwasiliana na yeyote, lakini watu wawili walio na simu wanapokuwa pamoja, kila mtu anakuwa kwenye simu yake. Sasa kauli hii inakwenda ndani zaidi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In