UKURASA WA 1167; Unachopenda Na Usichopenda…

By | March 12, 2018
Sisi binadamu tuna tabia ya upendeleo, kuanzia kwenye fikra zetu mpaka kwenye matendo yako. Huwa tunapendelea yale ambayo tunayapenda, na kubagua yale tusiyoyapenda. Kwa mfano, wengi huamini kile wanachopenda wao ndiyo sahihi na kila mtu anapaswa kukipenda. Hivyo hata kama kuna makosa ya wazi kwenye kile ambacho mtu anapenda, mapenzi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In