UKURASA WA 1171; Kama Hukufa Utotoni, Basi Jua Uwezo Wako Ni Mkubwa Kuliko Unavyofikiri.

By | March 16, 2018
Kitu ambacho nimejifunza kwenye maisha ni kwamba, binadamu huwa tunazaliwa tukiwa na maandalizi ya kutosha kupambana na changamoto za dunia. Mtoto mchanga aliyezaliwa leo, akisikia sauti kali atashtuka, akiona kitu kinakuja mdomoni kwake ataanza kunyonya, akiona kama anaanguka anajishika kwenye kitu. Kumbuka huyu ni mtoto wa siku moja, ambaye hajafundishwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In