UKURASA WA 1172; Vitu Viwili Unavyopaswa Kufa Navyo…

By | March 17, 2018
Kuna watu wengi wanaanzia chini kabisa, wanakuwa na hamasa kubwa, wanaweka juhudi kubwa, na juhudi hizo zinazaa matunda, wanaanza kufanikiwa. Lakini haichukui muda wanaanguka. Watu hawa wanakuwa wamefanya kosa moja kubwa, wanakuwa wameshiba, wanakuwa wamezoa kile ambacho wamekuwa nacho kiasi cha kusahau walipotoka na kilichowafikisha pale walipo. Watu pia, wanapoanzia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In