UKURASA WA 1190; Uwezo Wa Aina Mbili Wa Kukuvusha Nyakati Ngumu Kiuchumi…

By | April 4, 2018
Kadiri siku zinavyokwenda, ndivyo uchumi unavyozidi kuwa mgumu duniani kote. Hii ni kwa sababu maendeleo ya sayansi na teknolojia yanakuja na vifaa ambavyo vinarahisisha sana kazi na hivyo watu wachache zaidi kuhitajika kwenye kazi yoyote ile. Kwa mfano kompyuta moja inaweza kuchukua kazi za watu watano, ikaendeshwa na mtu mmoja

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In