UKURASA WA 1195; Sema Kidogo, Fanya Zaidi…

By | April 9, 2018
Kusema ni rahisi, kufanya ni kugumu, ndiyo maana kuna wasemaji wengi, washauri wengi na wakosoaji wengi kuliko wafanyaji. Kuahidi ni rahisi, kutekeleza ni kugumu, ndiyo maana ahadi ambazo hazijatekelezwa ni nyingi sana. Wapo watu ambao wanaanzisha biashara au huduma, wanaahidi makubwa, wanavutia wengi mwanzoni, lakini wanashindwa kutekeleza yale waliyoahidi, kinachotokea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In