UKURASA WA 1196; Hutafuti Ushauri, Unatafuta Wa Kukubaliana Na Wewe…

By | April 10, 2018
Yapo mambo mengi sana ambayo nimekuwa najifunza kupitia huduma ninayofanya, ya kutoa maarifa na hamasa ya watu kuchukua hatua na kuyafanya maisha yao kuwa bora zaidi. Katika watu wengi ambao wamekuwa wanaomba ushauri kwenye mambo mbalimbali, nimejifunza kwamba wengi huwa hawatafuti ushauri, badala yake wanatafuta mtu wa kukubaliana nao. Unakuta

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In