UKURASA WA 1197; Akili Ya Anayeanza…

By | April 11, 2018
Kwenye jambo lolote lile, mtu anayeanza ni tofauti kabisa na mtu ambaye ameshazoea. Anayeanza, hasa ambaye anapenda kweli kile anachoanza, anakuwa na hamasa kubwa ya kupiga hatua kubwa. Anakuwa tayari kujifunza kwa sababu anajua mengi hajui. Anakuwa tayari kujituma kuliko ilivyo kawaida kwa sababu anaona nafasi za kupiga hatua zaidi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In