UKURASA WA 1199; Njia Bora Ya Kuacha Kuhukumu Wengine Kabla Hata Hujajua…

By | April 13, 2018
Sisi binadamu ni majaji wazuri sana wa kuhukumu wengine kabla hata hatujapata taarifa kamili. Ni mara ngapi umekutana na mtu kwa mara ya kwanza, akawa labda siyo mtu wa kuongea sana na ukajiambia huyu mtu anaringa. Au umemsalimia mtu hakuitika japo wewe unaona amekusikia kabisa, na ukasema mtu huyo ana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In