UKURASA WA 1201; Hata Kama Unakosea, Kuwa Na Uhakika…

By | April 15, 2018
Moja ya changamoto kubwa inayowazuia wengi kupiga hatua kwenye maisha, ni kutokuwa na uhakika. Mtu anataka kitu, lakini hana uhakika kama anakitaka kweli na kama atakipata. Hivyo anakuwa kama anabahatisha, anakuwa kama anajaribu. Kwa kuwa hana uhakika, kwa kuwa anabahatisha, haweki juhudi zote anazoweza kuweka, na hivyo matokeo anayopata ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In