UKURASA WA 1202; Unachong’ang’ania Ndiyo Kinachokuua…

By | April 16, 2018
Kama unazama kwenye maji, uking’ang’ania kushikilia maji ukidhani ndiyo utaacha kuzama, ndiyo utazidi kuzama zaidi na zaidi. Kama unataka kuepuka kuzama, unachopaswa kufanya siyo kushikilia maji, badala yake kuachilia maji, kujiachia kwenye maji na hili litasaidia maji kukufanya uelee. Kadhalika kama unaanguka kutoka juu ya kitu, kung’ang’ana kushika hewa hakutakusaidia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In