UKURASA WA 1205; Kuonja Ni Kubaya…

By | April 19, 2018
Papa Alexander aliwahi kunukuliwa akisema kujifunza kidogo ni kitu hatari sana, ni heri mtu anywe kuliko kuonja chemchem ya hamasa. Kauli hii ina ukweli mzito sana ndani yake. Angalia kwenye maisha ya kawaida, watu hatari sana ni wale waliojifunza kidogo, wameonja tu elimu fulani lakini wanaamini tayari wanajua kila kitu.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz