UKURASA WA 1207; Watu Wanaposikia Jina Lako, Wanapata Picha Gani?

By | April 21, 2018
Umewahi kusikia watu wanasema mtu fulani ana jina kubwa? Umewahi kuona biashara ambazo zina majina makubwa? Na biashara hizo unakuta zinauza siyo kwa sababu zina bidhaa au huduma bora kuliko biashara nyingine, bali kwa sababu ni jina linaloaminika. Kwenye dunia ambayo ina kelele za kila aina, watu hawawezi kufanya maamuzi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In