UKURASA WA 1339; Hujakamilika Na Hutakuja Kukamilika…

By | August 31, 2018
Kama maisha ni nyumba basi tunaweza kusema kitu kimoja, ni nyumba ambayo ujenzi wake haujakamilika, na kila siku kuna kitu kinaendelea kujengwa. Wengi huwa tunachukulia maisha kama kuanza ukiwa hujakamilika, kisha kukamilika na maisha kuwa mazuri, pale unapokuwa umefanikiwa. Lakini wale wanaofuata njia hiyo, huwa wanaishia kuanguka. Pale mtu anapofikiria

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In