BIASHARA LEO; Tafuta Watu Ambao Tayari Wana Uhitaji…

By | September 15, 2018
Kuna njia mbili za kuingia kwenye biashara. Moja; unaweza kuanza na suluhisho, kisha ukatafuta tatizo ambalo suluhisho lako linatatua. Mbili; unaweza kuanza na tatizo, kisha ukatafuta suluhisho ambalo linatatua tatizo hilo. Njia zote ni sahihi, ila pale unapoanzia biashara chini, na ukiwa huna rasilimali za kutosha, unahitaji kuanza na tatizo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In