#TAFAKARI YA LEO; DUNIA ITAKURUSHIA VITU…

By | October 20, 2018
Seneca said, “Things will get thrown at you and things will hit you. Life’s no soft affair.” Siku mpya, Siku bora na ya kipekee sana imeanza. Ni siku ambayo umekuwa unaisubiria kwa hamu, siku ambayo jana ulisema kesho nita…. Kesho ya jana ndiyo tayari imeshafika hivyo nenda kachukue hatua leo.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz