1468; Kinachokupa Msongo Wa Mawazo Siyo Mambo Mengi Uliyonayo Ya Kufanya…

By | January 7, 2019
Tunapokuwa na mambo mengi ya kufanya huku muda wetu ukiwa mfupi, huwa tunapata msongo wa mawazo. Huwa tunafikiri kinachotupa msongo ni yale mambo mengi tuliyonayo ya kufanya, lakini hilo siyo sahihi. Kinachotupa msongo siyo yale mambo mengi tuliyonayo ya kufanya, bali namna tunavyofikiri kuhusu mambo hayo. Kinachotupa msongo wa mawazo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz