1484; Mabadiliko Yanatokea Kwa Matendo, Siyo Maneno Au Mipango…

By | January 23, 2019
Mabadiliko kwenye maisha yetu ni matokeo ya hatua tunazochukua na siyo maneno au mipango tuliyojiwekea. Hata kama mipango ni mikubwa kiasi gani, hata kama tunaweza kuielezea na kubishana kiasi gani, hakuna matokeo tutakayoyapata kama hakuna hatua tunayochukua. Nakukumbusha hili rafiki, ili kila mara ujue wapi pa kupeleka nguvu zako kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In