1486; Kitu Kimoja Kitakachokukinga Na Matusi Na Dharau Za Wengine…

By | January 25, 2019
Hakuna kitu kinachowaumiza na kuwarudisha watu wengi nyuma kama dharau na matusi ya wengine. Pale ambapo mtu unajitahidi kufanya kitu kikubwa, lakini wale wanaokuzunguka wanakudharau na hata wakati mwingine kukutukana, inakuwa vigumu sana kwako kuendelea. Na pale unapokutana na ugumu kwenye kufanya au unaposhindwa, unakubaliana na wale waliokudharau na kukutukana.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In