1499; Panga Kufanya Kitu, Siyo Kutokufanya Kitu…

By | February 7, 2019
Mipango ya kutokufanya kitu, huwa inashindwa mara zote, kwa sababu sisi binadamu huwa ni vigumu sana kwetu kukaa bila ya kufanya kitu. Hivyo unapokuwa unapanga mambo yako, badala ya kupanga nini hutafanya, panga kwanza nini utafanya. Kwenye kila muda wako pangilia nini utafanya na hili litakupa kitu cha kufanyia kazi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In