1502; Ngazi Za Kuelekea Kwenye Mafanikio Makubwa Na Sifa Mbili Unazopaswa Kuwa Nazo…

By | February 10, 2019
Mafanikio ni sawa na kupanda ngazi, na kila ngazi unayopanda unajisogeza karibu zaidi na mafanikio yako. Hivyo ili kufika kwenye kilele cha mafanikio, lazima uwe tayari kupanda ngazi zote. Kwa sababu kila unapopanda ngazi moja, nyingine inajitokeza mbele yako. Na habari mbaya ni kwamba hakuna lifti, ni lazima uzipande ngazi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In